Showing posts with label disk. Show all posts
Showing posts with label disk. Show all posts
Monday, March 20, 2017
Auslogics Disk Defrag Pro v4 8 1 0 Full Version
Auslogics Disk Defrag Pro v4 8 1 0 Full Version

Descriptions:
The problem: You may be experiencing longer application startup times or a general slowdown and believe the disk fragmentation may be behind it. Do you want more than just a defragmentation to ensure optimum performance of the drives.
The solution: Disk Defrag Pro allows you to defragment files that are inaccessible as well as placing files to optimize on your hard drive to ensure faster access and more effective exploitation. Multiple programming options allow you to consistently maintain high-speed HDD consistently.
Characteristics:
- Smart Defrag Algorithms
- Start-time defragmentation
- Algorithm for SSD drives
- Free Disk Space and Check
- Defragmentation Wizard
- Advanced programming options
- A single file or folder defragmentation
- Fragmentation list of files
- Prevention of fragmentation
- Free space for consolidation
- Resource management
- Performance Tables
- VSS-Compatible Algorithm
Size : 7.82 MB
To Download (Keygen Included) :
Media1Fire, Openload, Mega, MirrorCreator, GoogleDrive
Media1Fire, Openload, Mega, MirrorCreator, GoogleDrive
List of hosting site available at Software-Addict : Click Here
How to download : Click Here
Available link for download
Sunday, January 22, 2017
HOW TO CLEAR YOUR LOCAL DISK FULL
HOW TO CLEAR YOUR LOCAL DISK FULL

Umejaza filamu na nyimbo kibao katika diski yako, labda ni magemu pia. Tamthilia je? Inaweza ikawa moja ya vitu hivi au ni mambo mengine kibao yamejaa kwenye kompyuta yako kiasi ya kwamba inakuwa ni vigumu ata pa kujua mafaili makubwa ya kufuta ni yapi hasa.
Unaangalia kompyuta yako na inakuambia diski C yako inakaribia kujaa kabisa na hivyo unatakiwa ufute baadhi ya mafaili, ila ndio hivyo tena kutokana na jinsi yalivyomengi hufahamu mafaili yapi ni makubwa au yapo wapi hayo makubwa kutokana na wewe kuwa na mafolda mengi kwelikweli. Leo tunakutambulisha kwa programu moja ya bure kwa watumiaji wa kompyuta/laptop za Windows, inaitwa WinDirStat.
Ndio kuna njia zingine za kupunguza nafasi katika diski yako kama vile kutumia programu wa Windows ifahamikayo kama Disk Cleaner, ila hiyo haikuoneshi mafaili yako mwenyewe. Yenyewe inasaidia mafaili ya system ya kompyuta tuu.
Programu ya WinDirStat inakupa uwezo wa kufahamu mafaili gani ni makubwa na ni kwa ukubwa gani na pia inakupa uwezo wa kuyafuta kwenda kwenye Recycle Bin au kuyafuta moja kwa moja kabisa bila kupitia Recycle Bin.
- Pia kwa kutumia rangi mbalimbali utaoneshwa mafaili muhimu ambayo si vizuri uyaguse
Unaweza kushusha WinDirStat bure kabisa hapa -> http://www.fosshub.com/WinDirStat.html
Available link for download
Subscribe to:
Posts (Atom)